Wednesday, 18 June 2014

BRAZIL VS MEXICO KATIKA PICHA

 Hisiaaaaa.....Neymar akionyesha hisia kali baada ya kuimba wimbo wa taifa lake jana
 Kipa wa Mexico akiokoa mpira wa kichwa uliopigwa na Neymar
 Luis Gustavooo.....akisisitiza jamboo
 Hakuna penalti hapoo
 Hekaheka langoni mwa Mexico
 Fred dah.....akisikitika baada ya kukosa goli
 Dani Alves akijaribu kumtoka beki wa Mexico
 Kadiiii....Beki kisiki wa Brazil Thiago Silva akionyeshwa kadi ya njano baada ya kucheza faulo
 Dani Alves wa Brazil akimiliki mpira vizuri mbele ya mchezaji wa Mexico
 Mchezaji wa Brazil Oscar akijaribu kumzuia mshambulaji wa Mexico
 Kikosi cha Brazil kilichoanza jana
Neymar akijaribu kuwatokoa mabeki wa Mexico....

No comments:

Post a Comment