Valencia akimnyonga Sterling baada ya kutaka kumkwatua
Wachezaji wa Ecuador wakiimba wimbo wao wa taifa
Wachezaji wa England katika picha ya pamoja
Goli la kwanza la Ecuador....alifunga Enner Valencia
Antonio Valencia wa Ecuador akikabana na Ross Barkley wa England
Heka heka langoni mwa Ecuador...Rooney akaisawazishia Uingereza
Rooney akishangilia baada ya kufunga
Kocha wa Uingereza Roy Hodgson akiangalia mchezo kwa makini
Frank Lampard akimpongeza Rooney baada ya kufunga
Goooolii...Mcehzaji mpya wa Liverpool,Rick Lambert akiifungia Uingereza goli la pili
Mpira huoooo.....golii
Ross Barkley akimkaba mchezaji wa Ecuador
No comments:
Post a Comment