Wachezaji wa Barcelona wakielekea upande wa watu mashuhuri katika uwanja wa ndege wa Kiamtaifa wa Kilimanjaro (KIA) |
Mchezaji Luis Garcia(kulia) akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro .kushoto ni mratibu wa safari ya wachezaji wa zamani wa klabu ya Barcelona Royco Garcia. |
Wachezaji wa zamamni wa klabu ya Barcelona wakijadiliana jambo katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro muda mfupi mara baada ya kuwasili na ndege ya shirika la ndege la KLM. |
Simao Sabrosa mchezaji wa zamani wa klabu ya Barceona akiwa katika eneo la mapumziko katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro. |
Mchezaji Patrick Kluivert akizingumza kwa simu muda mfupi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro KIA jana usiku . |
No comments:
Post a Comment