Goal inatoa nafasi kwa msomaji mmoja kujishindia Jezi ya Yanga
Share habari hii nzuri na rafiki zako na unaweza pata nafasi ya
kujishindia Jezi ya Yanga iliosainiwa na Nadir Haroub Haroub “Cannavaro”
na Haruna Niyonzima
Unachotakiwa ni kulike page ya Goal kwenye Facebook na kutufollow Twitter na kisha share hii post kwenye wall yako na marafiki zako
Ofa hii ipo wazi mpaka Jumapili Aprili 4, shiriki sasa upate kujishindia zawadi hii toka Goal
Follow Goal Tanzania on Facebook and Twitter.
No comments:
Post a Comment