Tuesday, 17 March 2015

TAKWIMU ZA LA LIGA 2014/2015

 TOP GOAL SCORERS

GOALS
PLAYER
TEAM
NATION
POSITION
32
Lionel Messi
FC Barcelona
Argentina
Forward
30
C. Ronaldo
Real Madrid
Portugal
Forward
17
Neymar
FC Barcelona
Brazil
Forward
16
Carlos Bacca
Sevilla FC
Colombia
Forward
15
Alberto Bueno
Rayo Vallecano
Spain
Forward
14
A. Griezmann
Atlético Madrid
France
Midfielder
13
Karim Benzema
Real Madrid
France
Forward
12
Mario Mandzukic
Atlético Madrid
Croatia
Forward
12
Luciano Vietto
Villarreal
Argentina
Forward
12
Gareth Bale
Real Madrid
Wales
Midfielder

MOST ASSISTS

ASSISTS
PLAYER
TEAM
NATION
POSITION
14
Lionel Messi
FC Barcelona
Argentina
Forward
11
C. Ronaldo
Real Madrid
Portugal
Forward
9
D. Cheryshev
Villarreal
Russia
Midfielder
9
Luis Suarez
FC Barcelona
Uruguay
Forward
8
Koke
Atlético Madrid
Spain
Midfielder
8
K. Benzema
Real Madrid
France
Forward
8
Isco
Real Madrid
Spain
Midfielder
7
Toni Kroos
Real Madrid
Germany
Midfielder
7
J. Rodríguez
Real Madrid
Colombia
Midfielder
7
Nolito
Celta Vigo
Spain
Forward

MOST CLEAN SHEETS

CLEAN SHEETS
PLAYER
TEAM
NATION
15
Claudio Bravo
Barcelona
Chile
12
Miguel Moyà
Atlético Madrid
Spain
11
Iker Casillas
Real Madrid
Spain
11
Sergio Asenjo
Villarreal
Spain
9
Fabricio
Deportivo
Spain
9
Gorka Iraizoz
Athletic Club
Spain
9
Diego Alves
Valencia CF
Brazil
9
F. Casilla
Espanyol
Spain
9
Carlos Kameni
Malaga
Cameroon
7
Beto
Sevilla
Portugal

TAKWIMU ZA LIGI KUU UINGEREZA; WAFUNGAJI BORA, ASSISTS NA CLEAN SHEETS

 TOP GOAL SCORERS

GOALS
PLAYER
TEAM
NATION
POSITION
18
Diego Costa
Chelsea
Spain
Forward
17
Sergio Agüero
Man City
Argentina
Forward
16
Harry Kane
Tottenham
England
Forward
15
Charlie Austin
QPR
England
Forward
13
Alexis Sánchez
Arsenal
Chile
Midfielder
12
Saido Berahino
West Brom
England
Forward
11
Papiss Cissé
New United
Senegal
Forward
11
Olivier Giroud
Arsenal
France
Forward
11
Wayne Rooney
Man United
England
Forward
10
Robin van Persie
Man United
Netherlands
Forward

MOST ASSISTS

ASSISTS
PLAYER
TEAM
NATION
POSITION
15
Cesc Fabregas
Chelsea
Spain
Midfielder
8
G. Sigurdsson
Swansea City
Iceland
Midfielder
8
L. Baines
Everton
England
Defender
8
Angel di Maria
Man United
Argentina
Midfielder
8
S. Downing
West Ham
England
Midfielder
7
Dusan Tadic
Southampton
Serbia
Midfielder
7
Alexis Sánchez
Arsenal
Chile
Midfielder
7
Oscar
Chelsea
Brazil
Midfielder
7
J Puncheon
Crystal Palace
England
Midfielder
7
R Sterling
Liverpool
England
Midfielder

MOST CLEAN SHEETS

CLEAN SHEETS
PLAYER
NATION
TEAM
13
Fraser Forster
England
Southampton
11
Ben Foster
England
West Brom
11
Simon Mignolet
Belgium
Liverpool
10
L. Fabianski
Poland
Swansea City
10
David de Gea
Spain
Man United
9
Joe Hart
England
Man City
8
Brad Guzan
USA
Aston Villa
8
T. Courtois
Belgium
Chelsea
7
Tim Krul
Netherlands
New United
7
C Pantilimon
Romania
Sunderland

EPL TIMU ZILIZOKO KWENYE KIWANGO BORA KWA SASA


Match Preview: Yanga - Kagera Sugar, Yanga kulipa kisasi

Mbali na kutaka kulipa kisasi lakini pia Yanga ambao ni wawakilishi pekee kwenye michuano ya kimataifa watataka kushinda mchezo huo ili kurudi kileleni mwa ligi kuu
MABINGWA mara 24 wa Ligi ya Vodacom Tanzania bara Yanga kesho Jumatano watashuka kwenye uwanja wa taifa Dar es Salaam kuwaalika Kagera Sugar ya Bukoba.
Yanga inayoshika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 31, itaingia kwenye mchezo huo ikiwa na lengo la kulipa kisasi cha kufungwa bao 1-0, na Kagera katika mchezo wa awamu ya kwanza uliofanyika kwenye dimba la Kaitaba Novemba 2014.
Mbali na kutaka kulipa kisasi lakini pia Yanga ambao ni wawakilishi pekee kwenye michuano ya kimataifa watataka kushinda mchezo huo ili kurudi kileleni mwa ligi hiyo baada ya kuzidiwa na wapinzani wao Azam kwa pointi mbili lakini wakiwa nyuma kwa mchezo mmoja.
Kabla ya kufungwa na Simba wiki mbili zilizopita kikosi cha Yanga kiweza kushinda mechi tatu mfululizo kikiwa ugenini kwenye viwanja wa vya Mkwakwani Tanga walipoifunga Coastal Union na kisha kuchukua pointi sita kwenye uwanja wa sokoine Mbeya kwa kuzifunga Tanzania Prisons na Mbeya City.

Match Preview: Mgambo JKT – Simba, Msimbazi kuendeleza ubabe

Simba inaingia kwenye mchezo huo ikiwa na kumbukumbu nzuri ya kushinda mechi tatu mfululizo
KIKOSI cha wekundu wa msimbazi Simba kesho kinatarajia kushuka kwenye uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga kupambana na wenyeji Mgambo JKT ukiwa ni mwendelezo wa mechi za ligi ya Vodacom Tanzania bara.
Simba inayonolewa na kocha Mserbia Goran Kopunovic, inaingia kwenye mchezo huo ikiwa na kumbukumbu nzuri ya kushinda mechi tatu mfululizo kwa kuzifunga Tanzania Prisons,Yanga na Mtibwa Sugar.
Mbali ya Simba kuingia kwenye mchezo huo na rekodi nzuri lakini pia inajivunia kiwango bora na mabao ya kuvutia kutoka kwa mshambuliaji wao wa kimataifa kutoka nchini Uganda Emmanuel Okwi.
Simba inashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi ya Vodacom ikiwa na pointi 29 na michezo 18 siku za karibuni imeonyesha kiwango cha kuvutia na kufufa matumaini kwa mashabiki wa timu hiyo kwamba huenda wakatwaa ubingwa au kumaliza nafasi ya pili msimu huu.

MSIMAMO WA LIGI KUU YA UINGEREZA 2014/2015

EnglandEngland Premier League


P GDPt
1Chelsea28+3564
2Manchester City29+3158
3Arsenal29+2657
4Manchester United29+2456
5Liverpool29+1354
6Southampton29+1950
7Tottenham Hotspur29+450
8Stoke City29-242
9Swansea City29-540
10West Ham United29+239
11Newcastle United29-1435
12Crystal Palace29-633
13West Bromwich Albion29-933
14Everton29-531
15Hull City29-1128
16Aston Villa29-1928
17Sunderland29-2026
18Burnley29-2125
19Queens Park Rangers29-2222
20Leicester City28-2019

Shinda jezi ya Yanga kutoka Goal

Goal inatoa nafasi kwa msomaji mmoja kujishindia Jezi ya Yanga
Share habari hii nzuri na rafiki zako na unaweza pata nafasi ya kujishindia Jezi ya Yanga iliosainiwa na Nadir Haroub Haroub “Cannavaro” na Haruna Niyonzima
Unachotakiwa ni kulike page ya Goal kwenye Facebook na kutufollow Twitter na kisha share hii post kwenye wall yako na marafiki zako
Ofa hii ipo wazi mpaka Jumapili Aprili 4, shiriki sasa upate kujishindia zawadi hii toka Goal
Follow Goal Tanzania on Facebook and Twitter.

“Ni ushindi mzuri lakini hatupaswi kuridhika nao”- Hans van der Pluijm

Pluijm amesema watatumia mechi za ligi ya Vodacom kujiandaa na mchezo huo wa marudiano ambao anajua utakuwa mgumu kutokana na kucheza ugenini
BAADA ya ushindi wa mabao 5-1 walioupata jana kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kocha wa Yanga Hans van der Pluijm, amesema matokeo hayo hayawapi muda wa kupumzika kwani bado wanakazi kubwa ya kuhakikisha wanamaliza vizuri dakika 90 za Zimbabwe.
Pluijm ameiambia Goal, wapinzani wao FC Platinum, ni timu nzuri na wanalazimika kucheza kwa umakini mkubwa kwenye mchezo wa marudiano utakaopigwa April 3 kwenye dimba la Mandava Zimbabwe.
“Niushindi mzuri lakini hatupaswi kuridhika nao tunapaswa kuendelea kujituma kwa kurekebisha mapungufu ambayo yamejitokeza na tutakapokwenda Zimbabwe tulinde ushindi wetu kwa kushambulia zaidi na siyo kuzuia kwa sababu wapinzani wetu FC Platinum ni wazuri,”amesema Pluijm
Pluijm amesema watatumia mechi za ligi ya Vodacom kujiandaa na mchezo huo wa marudiano ambao anajua utakuwa mgumu kutokana na kucheza ugenini na wapinzani wao nao wanahitaji kuwaonyesha kuwa wanaweza hivyo wanahitaji kufanya kazi ya ziada.

Nooij atangaza kikosi cha Taifa Stars

KOCHA ‘Taifa Stars’ Mart Nooj, ametangaza kikosi cha wachezaji 27 watakaoingia kambini kujiandaa na mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Malawi
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mart Nooj, ametangaza kikosi cha wachezaji 27 watakaoingia kambini kujiandaa na mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Malawi utakaopigwa Machi 29 uwanja wa CCM Kirumba jijin Mwanza.
Kikosi cha Stars kinatarajia kuingia kambini machi 22 machi katika hotel ya Tansoma kujiandaa na mchezo huo kabla ya kuelekea jijini Mwanza machi 24 kwa maandalizi ya mwisho ya mchezo.
Wachezaji walioitwa na kocha Mart Nooij kujiandaa na mchezo huo ni; Magolikipa, Deogratius Munish, Aishi Manula na Mwadini Ali.
Mabeki ni Shomari Kapombe, Erasto Nyoni, Aggrey Morris, Mwinyi Haji, Salim Mbonde, Kelvin Yondani, Nadir Haroub, Oscar Joshua,Abdi Banda na Hassan Isihaka.
Viungo ni Frank Domayo, Salum Abubakar, Amri Kiemba, Mcha Khamis, Hassan Dilunga, Said Ndemla, Haroun Chanongo na Mwinyi Kazimoto.
Washambuliaji ni Saimon Msuva , Mrisho Ngasa, Thomas Ulimwengu, Mbwana Samatta, John Bocco, na Juma Luizio.
Wapinzani wa Stars Malawi wanatarajiwa kuwasili Mwanza machi 27, 2015 ikiwa na kikosi kamili, wakiwemo wachezaji nane wanaocheza soka la kulipwa nchini Afrika Kusini, Msumbuji, Congo DR na Zimbambwe.
Malawi inashika nafasi ya 91 katika viwango vipya vya FIFA Duniani vilivyotolewa mwezi huu, huku Tanzania ikipanda kwa nafasi saba na kushika nafasi ya 100.