Friday, 30 May 2014

MBEYA CITY FC YAPANGWA NA WANAUME WA UGANDA VICTORIA UNIVERSITY HATUA YA ROBO FAINALI

IMG_9441WAWAKILISHI wa Tanzania katika Michuano ya CECAFA Nile Basin Cup inayoendelea kushika kasi nchini Sudan, Mbeya City fc watachuana na Victoria University ya Uganda katika hatua ya robo fainali ya mashindano hayo.
Hizi hapa ndio mechi za robo fainali
Quarter final pairings
AFC Leopards [Kenya] VS Defence [Ethiopia]
Al Merreikh [Sudan] VS AcademieTchite [Burundi]
SC Victoria University [Uganda] VS Mbeya City [Tanzania]
Al AhliShandi [Sudan] VS Malakia [South Sudan]

No comments:

Post a Comment