MSHAMBULIAJI
DANNY SSERRUNKUMA WA SIMBA AKIPAMBANA NA MABEKI WA NDANDA FC KATIKA
MECHI YA LIGI KUU BARA KWENYE UWANJA WA NANGWANDA SIJAONA MJINI MTWARA,
LEO. SIMBA ILISHINDA KWA MABAO 2-0 NA SSERUNKUMA ALIFUNGA BAO LAKE LA
KWANZA LA LIGI IKIWA NI MECHI YAKE YA PILI KATIKA LIGI HIYO. |
No comments:
Post a Comment